Please ensure Javascript is enabled for purposes of website accessibility
KWFT Center, 6th Floor Masaba Road, Upper Hill
Mon - Fri 8:00 - 17-00

Mkataba wa Utoaji Huduma kwa Wananchi

MKATABA WA UTOAJI HUDUMA KWA WANANCHI

Orodha

Huduma
Inayotolewa

Mahitaji ykupokea/kupata
huduma

Gharama ya
Huduma (Ksh)

Muda wa
Utekelezaji

1.

Kushughulikia wageni

Kuwasili kwa mgeni

Bila malipo

Ndani ya dakika tano baada ya kuwasili kwenye mapokezi

2.

Majibu ya mawasiliano ya kawaida na maswali ya jumla

Simu inayoingia

Bila malipo

Ndani ya milio mitatu

3.

Majibu ya mawasiliano ya kawaida na maswali ya jumla

Barua iliyoandikwa kupokelewa rasmi

Bila malipo

Kukiri upokezi ndani ya siku mbili za kazi

Kupokea ombi la barua pepe

Bila malipo

Siku moja ya kazi

4.

Utatuzi wa malalamiko ya wateja

Kupokea malalamiko rasmi

Bila malipo

  • Kukiri upokezi wa malalamiko ndani ya siku 2 za kazi
  • Malalamiko rahisi kutatuliwa mara moja
  • Malalamiko ya wastani yatatuliwe ndani ya siku 14 za kazi
  • Malalamiko changamano yachunguzwe hadi suluhu ya
    kuafikiana ipatikane
5. Fidia kwa wadai

Fomu ya madai ya fidia iliyokamilishwa ipasavyo na kuwasilisishwa pamoja na hati zifaazo.

Bila malipo Siku 30 tangu tarehe ya kupokea dai

6.

Huduma za usimamizi wa kisheria

Barua ya uteuzi na Mamlaka ya Udhibiti wa Bima

Kama ilivyojadiliwa na kuafikiwa na mamlaka ya uteuzi

Ndani ya siku 365 baada ya kuteuliwa.

7.

Kusitisha/kusimamisha makampuni ya bima

Uteuzi kwa amri ya Mahakama

Kama ilivyojadiliwa na kuafikiwa na mamlaka ya uteuzi

Shughuli huanza ndani ya masaa 24 baada ya kuteuliwa.

8.

Malipo ya wauzaji

Nyaraka zifaazo:

  • Agizo la Ununuzi/Agizo la Huduma.
  • Ankara

Bila malipo

Malipo yanatolewa ndani ya siku 30 baada ya kupokea
bidhaa/huduma.

9.

Malipo ya Ushuru

  • Ushahidi wa malipo
  • Kurejesha fomu

Bila malipo

Siku moja ya kazi

TUMEJITOLEA KWA ADABU NA UBORA KATIKA UTOAJI HUDUMA.

Huduma yoyote au bidhaa inayotolewa ambayo haiambatani na viwango vilivyo hapo juu au afisa ambaye hafikii ahadi ya uungwana na ubora katika utoaji wa huduma inapaswa kuripotiwa kwa:

Msimamizi Mdhamini Wamiliki wa Hisa za Fidia
Policyholders Compensation Fund
KWFT Center, 6th Floor, Masaba-Kiambere Road
P.O. Box 24203 – 00100 Nairobi.
Simu: : +254-20-4996236/7/8, 0794 582 700
Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Tovuti: www.pcf.go.ke

Katibu wa Tume/Mkurugenzi Mtendaji, Tume ya Haki ya Utawala,
Commission on Administrative Justice
2nd Floor, West End Towers, off Waiyaki Way
P.O. Box 20414 – 00200 Nairobi.
Simu: +254-20-2270000/ 2303000/ 2603765/ 2409574/ 0777 125818/ 0800221349 (Toll free)
Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

News and Events

Placement of Xplico Insurance Companies Limited under Statutory Management and Invesco Assurance Company Limited in Liquidation.

xplico

NAIROBI, Kenya, 8th December – The Insurance Regulatory Authority has today, as per Section 67C(2)(i) of the Insurance Act, placed Xplico Insurance Company Limited under Statutory Management. Consequently, the Authority has with immediate effect appointed the Policyholders Compensation Fund (PCF) as the Statutory Manager for Xplico Insurance Company Limited. The insurer is prohibited from issuing any new insurance contracts from 8th December 2023.

Recent Video

Contact Us

KWFT Center, 6th Floor
Masaba Road, Upper Hill
P.o. Box 24203-00100,
Nairobi, Kenya.
Tel: +254 794 582 700
Email: info@pcf.go.ke

Write to us.